Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yaahirisha Kura ya Maoni



Breaking News: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yaahirisha Kura ya Maoni
Katika kikao cha waandishi walichoitisha leo mchana, Tume ya taifa ya uchaguzi wameahirisha kura ya maoni iliyokuwa ipigwe April 30 hadi watapotangaza vinginevyo kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR.

Comments