UMOJA wa Katiba ya Wananchi "Ukawa" wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa vinavyoundwa na Ukawa.
Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lissu wakati akizungunmza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya chama hicho, Kinondoni jijini Dar es Salaam .
Aidha umoja huo umetoa tamko juu ya amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba kwa kumuunga mkono Saed Kubenea aliyekuwa amefungua kesi ya kuitaka



Comments
Post a Comment