Huku akionekana kufurahishwa na ujio wa chama hiki Samwel Sitta anasema..."Wageni wengine ni Katibu wa ACT-Tanzania Jimbo la UBUNGO, chama hiki ni kipya ila kinakuwa kwa kasi sana...mwisho wa kunukuu" Hapa alikuwa anafanya utambulisho kwa wageni wawili wa chama hiki cha ACT-TANZANIA toka jimbo la UBUNGO waliofika kusikiliza uwasilishaji wa katiba mpya inayopendekezwa.
My Take:
Kwanini ACT-Tanzania inapata publicity kubwa sana toka kwa vyombo vya habari vya CCM au wanachama wake. Mfano UHURU, MZALENDO, STAR TV, TBC1, JAMBO LEO, nk. Na makada wengi wa CCM wanafurahia ujio wa chama hiki?
Hawa viongozi wa ACT-TANZANIA walikwenda kufanya nini bungeni kama sio wanaungana na ujinga unaoendelea bungeni?
.jpg)
Comments
Post a Comment