Paschal Patrobas ndie Mwenyekiti Mpya wa Bavicha. Msomi, Mwanasheria
kutoka Kahama, Shinyanga, Kanda ya Ziwa Mashariki. Mhitimu wa Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT). Nadhani wavimba macho watakuja
na hoja nyepesi kuwa ukanda wa Chadema umehama kutoka kasikazini
kuelekea Kanda ya Ziwa. Huwa hawakosi cha kusema! Utawasikia wakidai
kuwa John Heche amemwachia Mawana- Sauti Mwenzake tena kutoka Kanda
moja ya Ziwa Mashariki.
Uchaguzi umekwisha, Chadema ifanye kazi.
Hongera sana Kamanda Patrobas! Chapa Kazi!
Source: Mabadiliko Forums

Comments
Post a Comment