Skip to main content
LOWASSA kuanza Kampeni Waziwazi, ni Baada ya January Makamba Kutangaza Nia
LOWASSA kuanza Kampeni Waziwazi, ni Baada ya January Makamba Kutangaza Nia Kuna tetesi kuwa Edward Lowassa anatarajia kuanza kampeni ya kutangaza nia waziwazi baada ya kuona January Makamba amefanya hivyo wakati ni miongoni mwa waliopewa karipio kali na CCM kwa kampeni za kabla ya wakati muafaka na hajachukuliwa hatua yoyote. Pia ameona Membe akitumia UVCCM kuimarisha kambi yake harakati za kinyang'anyiro cha urais 2015
Comments
Post a Comment