
BWANA PETER KATUNKA AJIUNGA NA ACT-TANZANIA AKITOKEA NCCR-MAGEUZI
Bwana Katunka alikuwa:-
1.Katibu wa Jimbo la Kinondoni Chadema mwaka 2000-2004.
2.Katibu Wilaya Kinondoni Chadema 2004-2009.
Mwaka 2009 alihamia NCCR-Mageuzi pamoja na kina David Kafulila baada ya matatizo yanayoendelea kuisumbua Chadema mpaka Leo kuwakuta.
Alipofika NCCR-Mageuzi Mbatia akamuomba ashiriki kampeni zake Jimbo la Kawe kwa karibu kabisa kutoka na uzoefu wake na uwezo wake kiutendaji.
Peter Katunka karibu ACT,
Karibu mzalendo,
ACT Taifa Kwanza Leo na Kesho.
Comments
Post a Comment