Kumbe Mwigulu Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake, nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini, wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa deni la taifa. Ingawa hii haina maana kwamba hizi tabia zimeisha lakini amenifanya niamini kabisa kwamba kumbe siasa inatakiwa uvae joho jingine kuifanya...
Kwa Waliopata Nafasi ya Kumsikiliza Leo Clouds FM Najua Mtakuwa Mmeliona Hilo Kaongea Vizuri Sana Tofauti na Anavyoropokaga Akiwa Jukwaani ama Bungeni.
Comments
Post a Comment